2 Fal. 19:19 SUV

19 Basi sasa, Ee BWANA, Mungu wetu, utuokoe na mkono wake, nakusihi, ili kwamba falme zote za dunia zipate kujua ya kuwa wewe ndiwe BWANA Mungu, wewe peke yako.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 19

Mtazamo 2 Fal. 19:19 katika mazingira