2 Fal. 19:25 SUV

25 Je! Hukusikia wewe ya kuwa mimi ndimi niliyeyatenda hayo tokea zamani, na kuyafanya tokea siku za kale? Sasa mimi nimelitimiza jambo hili, iwe kazi yako kuangamiza miji yenye boma, hata ikawe chungu na magofu.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 19

Mtazamo 2 Fal. 19:25 katika mazingira