32 Basi BWANA asema hivi katika habari za mfalme wa Ashuru, Yeye hatauingia mji huu, wala hatapiga mshale hapa, wala hatakuja mbele yake kwa ngao, wala hatajenga boma juu yake.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 19
Mtazamo 2 Fal. 19:32 katika mazingira