2 Fal. 19:6 SUV

6 Isaya akawaambia, Mwambieni bwana wenu maneno haya; BWANA asema hivi, Usiyaogope maneno hayo uliyoyasikia, ambayo watumishi wa mfalme wa Ashuru wamenitukana.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 19

Mtazamo 2 Fal. 19:6 katika mazingira