2 Fal. 2:11 SUV

11 Ikawa, walipokuwa wakiendelea mbele na kuongea, tazama! Kukatokea gari la moto, na farasi wa moto, likawatenga wale wawili; naye Eliya akapanda mbinguni kwa upepo wa kisulisuli.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 2

Mtazamo 2 Fal. 2:11 katika mazingira