14 Akalitwaa lile vazi la Eliya lililomwangukia, akayapiga maji, akasema, Yuko wapi BWANA, Mungu wa Eliya? Naye alipoyapiga maji, yakagawanyika huku na huku, Elisha akavuka.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 2
Mtazamo 2 Fal. 2:14 katika mazingira