2 Fal. 2:19 SUV

19 Watu wa mjini wakamwambia Elisha, Angalia, twakusihi, mahali pa mji huu ni pazuri, kama bwana wangu aonavyo; lakini maji yake hayafai, na nchi huzaa mapooza.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 2

Mtazamo 2 Fal. 2:19 katika mazingira