21 Akatoka akaenda mpaka chemchemi ya maji, akatupa ile chumvi humo ndani, akasema, BWANA asema hivi, Nimeyaponya maji haya; hakutatoka huko tena kufa wala kuzaa mapooza.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 2
Mtazamo 2 Fal. 2:21 katika mazingira