2 Fal. 2:9 SUV

9 Hata ikawa, walipokwisha kuvuka, Eliya akamwambia Elisha, Omba kwangu lo lote utakalo nikutendee, kabla sijaondolewa kwako. Elisha akasema, Nakuomba, sehemu maradufu ya roho yako na iwe juu yangu.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 2

Mtazamo 2 Fal. 2:9 katika mazingira