17 Angalia, siku zinakuja, ambazo vitu vyote vilivyomo nyumbani mwako, na hivyo vilivyowekwa akiba na baba zako hata leo, vitachukuliwa mpaka Babeli; hakitasalia kitu, asema BWANA.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 20
Mtazamo 2 Fal. 20:17 katika mazingira