2 Fal. 20:6 SUV

6 Tena, nitazizidisha siku zako, kiasi cha miaka kumi na mitano, nami nitakuokoa wewe, na mji huu, na mkono wa mfalme wa Ashuru, nami nitaulinda mji huu kwa ajili yangu, na kwa ajili ya Daudi, mtumishi wangu.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 20

Mtazamo 2 Fal. 20:6 katika mazingira