1 Manase alikuwa na umri wa miaka kumi na miwili alipoanza kutawala; akatawala miaka hamsini na mitano katika Yerusalemu, na jina la mamaye aliitwa Hefziba.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 21
Mtazamo 2 Fal. 21:1 katika mazingira