2 Fal. 21:6 SUV

6 Akampitisha mwanawe motoni, akatazama bao, akafanya uganga, akajishughulisha na hao wenye pepo wa utambuzi, na wachawi; akafanya mabaya mengi machoni pa BWANA, hata kumkasirisha.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 21

Mtazamo 2 Fal. 21:6 katika mazingira