2 Akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA, akaenda katika njia yote ya Daudi baba yake, wala hakugeuka upande wa kuume wala wa kushoto.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 22
Mtazamo 2 Fal. 22:2 katika mazingira