2 Fal. 22:5 SUV

5 tena waitie ile fedha katika mikono ya wafanya kazi wanaoisimamia nyumba ya BWANA; wakapewe wafanya kazi waliomo ndani ya nyumba ya BWANA, ili wapate kupatengeneza mahali palipobomoka ndani ya nyumba;

Kusoma sura kamili 2 Fal. 22

Mtazamo 2 Fal. 22:5 katika mazingira