2 Fal. 23:16 SUV

16 Naye Yosia alipogeuka, aliyaona makaburi yale yaliyokuwako huko, juu ya mlima; akatuma watu, akaitoa ile mifupa katika yale makaburi, akaiteketeza juu ya madhabahu, akainajisi, sawasawa na lile neno la BWANA, alilolinena yule mtu wa Mungu, aliyetamka mambo hayo.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 23

Mtazamo 2 Fal. 23:16 katika mazingira