2 Fal. 25:8 SUV

8 Hata mwezi wa tano, siku ya saba ya mwezi, ndio mwaka wa kumi na kenda wa mfalme Nebukadreza, mfalme wa Babeli, Nebuzaradani, amiri wa askari walinzi, mtumishi wa mfalme wa Babeli, akaingia Yerusalemu.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 25

Mtazamo 2 Fal. 25:8 katika mazingira