1 Basi Yoramu mwana wa Ahabu alianza kutawala juu ya Israeli huko Samaria katika mwaka wa kumi na nane wa Yehoshafati mfalme wa Yuda, akatawala miaka kumi na miwili.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 3
Mtazamo 2 Fal. 3:1 katika mazingira