2 Fal. 3:14 SUV

14 Elisha akasema, Kama BWANA wa majeshi aishivyo, ambaye nimesimama mbele zake, kama singemwangalia uso wake Yehoshafati mfalme wa Yuda, singekutazama, wala kuonana nawe.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 3

Mtazamo 2 Fal. 3:14 katika mazingira