19 Nanyi mtapiga kila mji wenye boma, na kila mji ulio mzuri, na kila mti mwema mtaukata, na chemchemi zote za maji mtaziziba, na kila mahali palipo pema mtapaharibu kwa mawe.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 3
Mtazamo 2 Fal. 3:19 katika mazingira