2 Fal. 3:7 SUV

7 Akaenda akatuma kwa Yehoshafati mfalme wa Yuda, akasema, Mfalme wa Moabu ameniasi; je! Utakwenda pamoja nami tupigane na Moabu? Akasema, Nitakwenda; mimi ni kama wewe, watu wangu ni kama watu wako, farasi zangu ni kama farasi zako.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 3

Mtazamo 2 Fal. 3:7 katika mazingira