2 Fal. 4:22 SUV

22 Kisha akamwita mumewe, akasema, Tafadhali, uniletee mtu mmoja wa watumishi, na punda mmoja, ili nimwendee yule mtu wa Mungu kwa haraka, nikarudi tena.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 4

Mtazamo 2 Fal. 4:22 katika mazingira