14 Ndipo akashuka, akajichovya mara saba katika Yordani, sawasawa na neno lake yule mtu wa Mungu; nayo nyama ya mwili wake ikarudi ikawa kama nyama ya mwili wa mtoto mchanga, akawa safi.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 5
Mtazamo 2 Fal. 5:14 katika mazingira