23 Naamani akasema, Uwe radhi, ukatwae talanta mbili. Akamshurutisha, akafunga talanta mbili za fedha ndani ya mifuko miwili, na mavazi mawili, akawatwika watumishi wake wawili; nao wakayachukua mbele yake.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 5
Mtazamo 2 Fal. 5:23 katika mazingira