2 Fal. 6:13 SUV

13 Akasema, Enendeni, mkamwangalie aliko, nipate kupeleka watu kwenda kumchukua. Akaambiwa ya kwamba, Tazama, yuko Dothani.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 6

Mtazamo 2 Fal. 6:13 katika mazingira