2 Basi twende mpaka Yordani, twakuomba, tutwae huko kila mtu mti mmoja, ili tujifanyie huko mahali pa kukaa. Akajibu, Haya! Nendeni.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 6
Mtazamo 2 Fal. 6:2 katika mazingira