2 Fal. 6:25 SUV

25 Njaa ikawa kuu huko Samaria; na tazama, wakauhusuru, hata kichwa cha punda kikapata kuuzwa kwa vipande themanini vya fedha, na kibaba cha mavi ya njiwa kwa vipande vitano vya fedha.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 6

Mtazamo 2 Fal. 6:25 katika mazingira