2 Fal. 6:30 SUV

30 Ikawa, mfalme alipoyasikia maneno ya huyo mwanamke, aliyararua mavazi yake; (naye alikuwa akipita juu ya ukuta;) na watu wakaona, na tazama, alikuwa amevaa magunia ndani mwilini mwake.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 6

Mtazamo 2 Fal. 6:30 katika mazingira