2 Fal. 6:8 SUV

8 Basi, mfalme wa Shamu alikuwa akifanya vita na Israeli. Akafanya mashauri na watumishi wake, akasema, Kituo changu kitakuwapo mahali fulani.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 6

Mtazamo 2 Fal. 6:8 katika mazingira