19 na yule akida akamjibu mtu wa Mungu, akasema, Sasa tazama, kama BWANA angefanya madirisha mbinguni, je! Jambo hili lingewezekana? Akasema, Angalia, wewe utaliona kwa macho yako, lakini hutakula.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 7
Mtazamo 2 Fal. 7:19 katika mazingira