21 Basi akaenda Yehoramu mpaka Sairi, na magari yake yote pamoja naye. Akaondoka usiku, akawapiga Waedomi waliomzunguka yeye na maakida wa magari; na watu wakakimbilia hemani kwao.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 8
Mtazamo 2 Fal. 8:21 katika mazingira