2 Fal. 8:26 SUV

26 Ahazia alikuwa na umri wa miaka ishirini na miwili alipoanza kutawala; akatawala mwaka mmoja huko Yerusalemu. Na jina la mamaye aliitwa Athalia binti Omri mfalme wa Israeli.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 8

Mtazamo 2 Fal. 8:26 katika mazingira