4 Basi mfalme alikuwa akizungumza na Gehazi, mtumishi wa mtu wa Mungu, akinena, Uniambie, nakusihi, mambo makuu yote aliyoyafanya Elisha.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 8
Mtazamo 2 Fal. 8:4 katika mazingira