2 Fal. 8:6 SUV

6 Na mfalme alipomwuliza yule mwanamke, yeye akamweleza. Basi mfalme akamtolea akida, akasema, Mrudishie yote aliyokuwa nayo, na mapato yote ya shamba lake tangu siku aliposafiri, hata leo.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 8

Mtazamo 2 Fal. 8:6 katika mazingira