2 Fal. 9:1 SUV

1 Nabii Elisha akamwita mmojawapo wa wana wa manabii, akamwambia, Jikaze viuno, ukachukue chupa hii ya mafuta mkononi mwako, ukaende Ramoth-Gileadi.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 9

Mtazamo 2 Fal. 9:1 katika mazingira