16 Basi Yehu akapanda gari lake kwenda Yezreeli; kwa maana Yoramu alikuwa amelala huko; na Ahazia mfalme wa Yuda alikuwa ameshuka ili kumtazama Yoramu.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 9
Mtazamo 2 Fal. 9:16 katika mazingira