2 Nya. 1:10 SUV

10 Basi sasa nipe hekima na maarifa, nijue kutoka na kuingia mbele ya watu hawa; kwa kuwa ni nani awezaye kuwahukumu watu wako hawa walio wengi?

Kusoma sura kamili 2 Nya. 1

Mtazamo 2 Nya. 1:10 katika mazingira