9 Basi sasa, Ee BWANA Mungu, na limyakinie baba yangu Daudi neno lako; maana umenitawaza niwe mfalme juu ya watu wengi kama mavumbi ya nchi.
Kusoma sura kamili 2 Nya. 1
Mtazamo 2 Nya. 1:9 katika mazingira