2 Nya. 1:14 SUV

14 Sulemani akakusanya magari na wapandao farasi; naye alikuwa na magari elfu na mia nne, na wapandao farasi kumi na mbili elfu, aliowaweka katika miji ya magari, na pamoja na mfalme huko Yerusalemu.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 1

Mtazamo 2 Nya. 1:14 katika mazingira