2 Nya. 1:15 SUV

15 Mfalme akafanya fedha na dhahabu kuwa kama mawe humo Yerusalemu, na mierezi akaifanya kuwa kama mikuyu iliyomo Shefela, kwa kuwa mingi.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 1

Mtazamo 2 Nya. 1:15 katika mazingira