2 Nya. 10:10 SUV

10 Na wale vijana waliokua pamoja naye wakamwambia, wakasema, Uwaambie hivi watu wale waliosema nawe, wakinena, Baba yako alilifanya zito kongwa letu, lakini wewe tufanyie jepesi; uwaambie hivi, Kidole changu cha mwisho ni kinene kuliko kiuno cha baba yangu.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 10

Mtazamo 2 Nya. 10:10 katika mazingira