2 Nya. 10:11 SUV

11 Basi kama baba yangu aliwatwika kongwa zito, mimi nitaongeza kongwa lenu; baba yangu akiwapiga kwa mijeledi, lakini mimi nitawapiga kwa nge.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 10

Mtazamo 2 Nya. 10:11 katika mazingira