2 Nya. 13:10 SUV

10 Lakini sisi, BWANA ndiye Mungu wetu, wala sisi hatukumwacha; tena tunao makuhani wanaomtumikia BWANA, wana wa Haruni, na Walawi, kwa kazi yao;

Kusoma sura kamili 2 Nya. 13

Mtazamo 2 Nya. 13:10 katika mazingira