2 Nya. 13:9 SUV

9 Je! Hamkuwafukuza makuhani wa BWANA, wana wa Haruni, na Walawi; mkajifanyia makuhani kama wafanyavyo watu wa nchi nyingine? Hata ye yote ajaye kujifanya wakfu na ndama, na kondoo waume saba, aweza kuwa kuhani wa hiyo isiyo miungu.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 13

Mtazamo 2 Nya. 13:9 katika mazingira