2 Nya. 13:8 SUV

8 Hata sasa mwajidhania kuwa mtauzuia ufalme wa BWANA mikononi mwa wana wa Daudi; nanyi mmekuwa jamii kubwa, na kwenu mna ndama za dhahabu alizowafanyia Yeroboamu kuwa miungu.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 13

Mtazamo 2 Nya. 13:8 katika mazingira