2 Nya. 13:18 SUV

18 Ndivyo walivyotiishwa wana wa Israeli wakati ule, wakashinda wana wa Yuda, kwa kuwa walimtegemea BWANA, Mungu wa baba zao.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 13

Mtazamo 2 Nya. 13:18 katika mazingira