2 Nya. 13:19 SUV

19 Abiya akamfuata Yeroboamu, akamnyang’anya miji, Betheli na miji yake, na Yeshana na miji yake, na Efroni na miji yake.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 13

Mtazamo 2 Nya. 13:19 katika mazingira