2 Nya. 14:13 SUV

13 Asa na watu waliokuwa pamoja naye wakawafuata mpaka Gerari; nao wengi wakaanguka wa Wakushi hata wasiweze kupona; kwa sababu waliangamizwa mbele za BWANA, na mbele ya jeshi lake; na hao wakachukua mateka mengi sana.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 14

Mtazamo 2 Nya. 14:13 katika mazingira