2 Nya. 14:14 SUV

14 Wakaipiga miji yote kando-kando ya Gerari; maana hofu ya BWANA ikawajia; nao wakaiteka nyara miji yote, kwa maana zilikuwamo ndani yake nyara nyingi mno.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 14

Mtazamo 2 Nya. 14:14 katika mazingira