2 Nya. 16:6 SUV

6 Ndipo mfalme Asa akawatwaa Yuda wote; nao wakayachukua mawe ya Rama, na miti yake, aliyoijengea Baasha; naye akajenga kwa vitu hivyo Geba na Mispa.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 16

Mtazamo 2 Nya. 16:6 katika mazingira